Entertainment


Mwaka 2004 Canada ilipitisha sheria ya kukataza Baby walkers ndani ya nchi hiyo.. walidai kwamba mtoto akitumia baby walker inasababisha mtoto achelewe kutembea na pia kudumaza akili. Mtu yoyote atakayekutwa anamiliki au ananunua kifaa hicho faini ni dola 100,000 au kifungo cha miezi 6 jela




About qwerty

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Top