Tarehe 28.05.2013 Tanzania ilipoteza mmoja wa wasanii
aliekua na mashabiki wengi nchini Tanzania na Africa Mashariki, Albert Mangwea.
Mbali na kua na muziki mzuri Albert mangwea alikua ni mtu aliependa sana
ku’socialize na watu kwenye social networks sanasana twitter na katika
kumbukumbu ya miaka miwili ya kifo chake tunakuletea baadhi ya tweets za Albert
Mangwea alizo’tweet kipindi cha uhai wake na tungependa kuiita hii ‘NGWEA
TWITTER TRIBUTE’.
Ifuatayo ni collection ya tweets za marehemu Albert
Mangwea alizo’tweet kipindi cha uhai wake zikiwemo za vichekesho, za kumcha
Mungu, ushahidi wa wapi ni alipopaona kama ni nyumbani zaidi kati ya Dodoma na
Moro, ushahidi wa kuwepo album yake ya tatu pamoja na tweet yake ya mwisho
ku’tweet katika uhai wake..
Zifuatazo ni tweets za vichekesho za Albert Mangwea
Zifuatazo ni tweet za Albert Mangwea za kumcha Mungu
Hii ndo team aliyokua anaishabikia Albert katika ligi ya Uingereza
Hapa Albert alifunguka wapi anapoaona nyumbani zaidi kati ya Moro na Dodoma
Huu ndo ushahidi wa kuwepo Album ya 3 ya Albert
mangwea baada ya’ Aka Mimi’ na Ng’e 1982
Tar 27.05.2013 ilikua ndo siku ambayo Albert Mangwea
alipost tweet yake ya mwisho, na alichosema ni hiki hapa
Arranged/Prepared by John Kapela
www.africanjam.com
Source : Twitter