Filamu mpya ya kusisimua HISIA imeingia rasmi sokoni tarehe 27/07/2015 na kusambazwa na kampuni ya AKIM MASTERS FILM ndani na nje ya nchi.
Filamu hii imeelezea undani wa sanaa na wasanii pia. Inaelezea uhalisia uliopo pale mtu anapoingia katika sanaa na kudharaulika na badae anapofanikiwa kuanza kusifiwa kila kona. Pia inaeleza namna ambavyo vijana wanavyowaona na kuwachukulia wasanii kwa namna wanavyowaona katika Tv na maonyesho bila kujua undani na uhalisia wa maisha yao.
Waigizaji wakuu katika filamu hii ni Mohamed Fungafunga, Riyama Ally, Ahmed Makula pamoja na Jackson Kabibigi.
Usikose kupata nakala yako ya "HISIA" inayosambazwa na AKIM MASTERS FILM
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.
Follow us on Twitter @african_jam
Like our Facebook page Africanjam.com