Jumapili hii ya tar 1st May.2016, Bob Manecky atafanya album preview ya album iliyofanyika chini ya studio yake ya AM Records aliyoipa jina la SIDE B ALBUM.
Watakaofanikisha zoezi zima jukwaani ni Baraka Da Prince, Mo Music, Nuh Mziwanda, Gelly wa Rhymes, Voice Fairly, Jimmy Chansa na Deddy. Pia watakuwepo wakali wa hit single ya Ni wewe M-Rap pamoja na Miss Rizzy.

Ni Jumapili hii Maisha Basement kwa kiingilio cha Tsh.10,000 tu.