Sunday, May 04, 2025

Entertainment

Siku moja tu imesalia kabla ya pambano la kimataifa la masumbwi, kati ya wakali wawili Manny Pacquiao na Floyd Maywether the money team,ambao watapanda ulingoni na kutusanua nani mkali zaidi.
Jana kwa nyakati tofauti wakali hawa walizungumza na fans waliofurika katika ukumbi wa MGM grand, Mayweather jr amedai kuonesha uwezo na kumchapa mfilipino huyo
“Nimejiandaa vizuri,na nitamdunda Manny”
 alitamba TMT.
Kwa upande wake mwanamasumbwi Pacquiao amedai hakuwahi kumuogopa Floyd na wala hadhani kama atachezea kichapo“Maywether atajuta,sikuwahi kumuogopa wala kuhofia kucheza nae” 
Pacquiao alifunguka




About qwerty

«
Next
PICHA: BAADHI YA VITU VYA THAMANI ANAVYOMILIKI FLOYD MAYWEATHER
»
Previous
PICHA: TAZAMA PICHA 37 ZA YALIYOJIRI KWENYE "ZARI ALL WHITE PARTY"

Top