Sergio Aguero na
Angel di Maria wameonyesha wana hawana uchovu wa Ligi Kuu England, baada ya
kila mmoja kupiga zaidi ya bao moja wakati Argentina ikiitwanga Bolivia 5-0.
Di Maria hakua na msimu mzuri sana katika club yake ya Manchester United kitu kilichowapa watu wengi wasiwasi kuhusu kiwango chake. Hata hivyo Di Maria amesema ataendelea kuichezea club yake hiyo na aahidi kurudi katika kiwango bora zaidi.
Kiwango alichokionyesha katika timu yake ya taifa ya Argentina ikiwemo kuziona nyavu mara mbili ni ishara kubwa kua msimu ujao atafanya makubwa na club yake ya Manchester United.
Sergio Aguero