Entertainment

Muigizaji wa zamani ambaye pia alikua mmoja kati ya watu walioumudu vizuri mchezo wa kung fu marehemu Bruce Lee ambaye alifariki 20th July. 1973 alikua na kitu zaidi cha kipekee ambacho wengi hawakifahamu. Bruce Lee alikua anauwezo wa kupigana kwa kasi sana kiasi cha kufanya watengeneza filamu kulazimika kuweka slow motion kwenye baadhi ya sehemu za filamu ili mtazamaji aweze kuona kitu kilichofanyika.


Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.
Follow us on Twitter @african_jam 
Like our Facebook page Africanjam.com 




About qwerty

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Top