Entertainment

Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.
Follow us on Twitter @african_jam 
Like our Facebook page Africanjam.com 
Msanii na mmoja kati ya watu wanaounda team ya Cash Money (CMB) Records Lil Wayne aliingia kwenye headlines kipindi cha nyuma kwa madai ya kutaka kutoka katika label hio ya muziki. Headlines mpya leo ni kwamba msanii huyo wa Hiphop amefungua kesi mahakamani dhidi ya Cash Money kwa madai ya kwamba eti Nicki Minaj na Drake hawana usimamizi mzuri chini ya lebo hio.

So ina maanisha Nicki Minaj na Drake wako njiani kuimwaga Cash Money Records?ama ni stori tu!?
wayne
Katika documents zilizowasilishwa mahakamani Lil Wayne amedai kua sio yeye peke yake anae wadai lebo hiYo ya muziki bali lebo hio imeendelea kukataa kuwalipa wasanii wengine chini ya lebo hio pesa zao, na kusisitiza kua visa hivi vitasababisha yeye na baadhi ya wasanii aliowaleta kwenye lebo hio kutemana na Cash Money Records.
Msaani huyu alieibua vipaji vya Drake, Nicki Minaj na J.Prince amedai kua Birdman alimuahidi asilimia kubwa ya pesa ya Cash Money Records kutoka kwenye faida ya kumgundua Drake alieiingizia lebo hio faida zaidi ya dola millioni 40 lakini akashangaa jamaa amemlipa millioni mbili tu kati ya mamilioni aliotakiwa kulipwa.




About qwerty

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Top