Maandalizi ya zile pilikapilika za Ligi mbalimbali Ulaya yanaendelea, kwenye Klabu kuna mengi yanafanyika ikiwemo kubadili Jezi zao na kuzitangaza.
Arsenal wameingia kwenye Headlines nao baada ya kuzindua Jezi zao mpya watakazozitumia msimu wa 2015/16… Uzinduzi umefanyika kwenye Uwanja wao wa nyumbani wa Emirates, London na MC alikuwa striker wa zamani wa Klabu hiyo, Thierry Henry.
Fans wa Klabu hiyo nao walipata nafasi ya kushuhudia tukio hilo jingine kubwa la Kihistoria.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter,