Entertainment


David Luiz na Thiago Silva ambao wakua marafiki tangu wapo wadogo hadi leo wamekua wachezaji wakubwa, sasa hawa watoto wawili ni kivutio kikubwa sana tangu mwaka jana wakati wa World Cup.
Siku ya mechi ya Mexico Vs Brazil ambapo Brazil walishinda kwa 2-0 ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na mashindano ya Copa America. Kitu kilichovutia zaidi kwenye mechi hiyo ni watoto wawili ambao wanafanana sana na David na Thiago.

Majina yao ni Lyan na Murilo ambapo waliingia kama watoto wanaosindikiza timu kuingia uwanjani. Hivi sasa watoto hao ni maarufu sana huko Brazil na picha zao zinasambaa kwenye internet watu wakisema kwamba ni watoto wa David na Thiago.
2 
      




About qwerty

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Top