Entertainment


Jokate Mwegelo who is the Chief Executive Officer of Kidoti Ltd made a tour to Arusha to inspire youth especially young ladies about health, beauty and enterprenuership. 

While in Arusha at Tripple A, she selected 13 young ladies to become Kidoti ambassadors who joined her team.

Jokate said earlier that she chose Arusha because it is a city that has young ladies who have positive response when it comes to enterprenuership.

Apart from being enterprenuers but also these young ladies are now ambassadors of Kidoti Products.

Follow Kidoti on twitter: @KidotiLoving 
Follow Kidoti on Instagram : official_kidoti 


Jokate Mwegelo "Jojo" posing for a picture 
with Kidoti ambassadors in Arusha 


Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Kidoti Ltd amefanya ziara jijini Arusha na team yake nzima kwa ajili ya kuwahimiza vijana kuhusu urembo na ujasiriamali.

Akiwa jijini Arusha, Jokate "Jojo" katika ukumbi wa Tripple A alichagua mabinti 13 ambao watakua mabalozi wapya wa bidhaa za Kidoti.

Pia Jojo alisema ameamua kufanya ziara jijini Arusha kwa kua ni jiji lenye vijana wenye muitikio chanya katika maswala ya ujasiriamali.

Mbali na kua wajasiriamali, pia mabinti hao watakua mabalozi wapya wa bidhaa za kidoti.


Follow Kidoti on twitter: @KidotiLoving 
Follow Kidoti on Instagram : official_kidoti 




Jokate Mwelego talking to young ladies in Arusha
Jokate mwegelo akiongea na mabinti wa Arusha




TV1 interviewing Kidoti ambassadors
TV1 wakifanya interview na mabalozi wa Kidoti







About qwerty

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Top