Entertainment

Majambazi wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi laPolisi jijini Dar baada ya kufanya jaribio la kuiba pesa kwenye benki ya NMB Sinza Mori. 
Pembeni ni wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo. 
Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika benki ya NMB iliyopo Sinza-Mori, Dar es Salaam.Tukio hilo limetokea mchana wa leo tarehe 18/09/2015 katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini Dar ambapo majambazi hao walikamatwa wakiwa katika harakati za kutekeleza tukio hilo.Majambazi hao baada ya kukamatwa wamepelekwa katika kituo cha Polisi Mabatini kilichopo Kijitonyama jijini Dar.






About qwerty

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Top