Entertainment


Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.
Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka kufika siku 3 kabla ya tukio zikawa zimekwisha tayari.
Zari ni mjamzito na anatarajia kuifungua mtoto ambae ndio atakua wa kwanza kwa Diamond.

Hapa chini ni mwonekano kidogo tu wa mandhari ya ukumbi wa Mlimani City ambapo Event hiyo ya Zari All White Party itafanyika







About qwerty

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Top