Entertainment

Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.

Kwanza kabisa ujue Kaka ndie mchezaji anaelipwa pesa nyingi kuliko wachezaji wote kwenye MLS ambapo yeye anapokea $7.16m (£4.51m) kwa mwaka. Pia anaefuatia sio Lampard wala Gerrad.
Clint Dempsey ambae alikua Fulham and Tottenham na sasa anachezea Seattle Sounders, Michael Bradley wa Toronto FC wanalipwa pesa nyingi kuliko wachezaji hawa wa England.

.
Clint Dempsey analipwa kiasi cha $6.7m (£4.2m) na Michael Bradley analipwa $6.5m (£4.1m).
Namba 4 anakaa Steven Gerrard amabe anacheza L.A Galaxy analipwa kiasi cha %6.2 million kwa mwaka pamoja na bonus ya $600,000 kama watashinda kombe la MLS, CONCACAF Champions League na FIFA World Club Cup.
Namba 5 anakaa Lampard ambae anacheza NY City FC, mshahara wake kwa mwaka ni $6mil. Bonus yake ni $1.55 mil kama watashinda MLS Cup,CONCACAF Champions League,FIFA Club World Cup na US Open Cup na awe MLS MVP.
Ijumaa tunaweza kujua kuhusu mshahara wa Andrea Pirlo ambae anategemewa kujiunga na New York FC.
mshahara  




About qwerty

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Top