Entertainment


Klabu ya Liverpool imefuta ndoto za wapinzani wao Manchester United baada ya kufanikiwa kumsajili mshambuliaji kutoka Brazil Roberto Firmino aliyekuwa akikipiga katika klabu ya Hoffenheim kwa mkataba wa miaka mitano.




Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.
Follow us on Twitter @african_jam 
Like our Facebook page Africanjam.com 

Gharama ya kumsajili mshambuliaji huyo imefikia kiasi cha pauni millioni 29 na anatarajia kufanyiwa vipimo vya matibabu baada ya kumalizika kwa michuano ya Copa Amerikainayoendelea huko Chile ambapo kwa sasa anaitumikia timu yake ya Brazil.
Tayari Firmino amefunga mabao 47 katika mechi 151 akiwa na klabu yake ya Hoffenheim na atakuwa mchezaji wa pili wa Liverpool anayelipwa fedha nyingi zaidi baada ya Andy Carroll kuwa mchezaji ghali alipojiunga kwa kitita cha pauni milioni 35 kutoka Newcastle mwaka 2011




About qwerty

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Top