Entertainment

Ali Kiba  ni staa mwingine mkali wa muda mrefu kwenye Bongo Fleva… Hit ya Chekecha Cheketua ni moja ya single ambazo mtaani wanaisubiri video yake kwa hamu sana.
Sasa good news ninayotaka kukusogea ni kwamba video hiyo mpya iliyotayarishwa Afrika Kusini inatarajiwa  kutambulishwa kesho June 29 kama ‘Exclusive’ kupitia kituo cha TVcha ufaransa maarufu kama Trace TV  kinachoonekana Africa kwa huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani muziki wa kizazi cha sasa.

Kupitia kwenye ukurasa wa instagram #TraceTV ya nigeria wamepost cover ya utambulisho wa video hiyo mpya na kuandika…’Catch the Video Premiere of ‘Chekecha Chekatua’ by Alikiba ( @officialalikiba ) on TRACE Urban on Monday at 9:23 am!!! #tanzania #worldpremiere #newvideo..’@tracenigeria

Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.

Follow us on Twitter @african_jam 
Like our Facebook page Africanjam.com 




About qwerty

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Top